| Moja kati ya wakurugenzi wa Mgodi wa Nyarugusu Mine Co.Limited Fred Masanja akionesha cheti NEMC ambacho naibu waziri alikikata. |
| Bwawa la kuhifadhia maji ya kemikali ambalo limeharibika na kusababisha maji mengi kuelekea kwenye shughuli za wananchi. |
| Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola akiangalia baadhi eneo ambalo limepasuka. |
| Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akitembelea na kuangalia miche ya miti ambayo imekwisha kuathirika. |

Post A Comment: