MATOKEO YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA EALA, CHADEMA.

Share it:

Matokeo ya uchaguzi kwa wagombea nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki EALA kutoka Chadema.
1. Profesa Abdalla Safarikura 35.
2. Wenje kura 34
3. Lawrence Masha kura 44
4. Salim Mwalimu kura 54
5. Josephine Lemoyan kura 219
6. Pamela Maasay kura 200.
Washindi waliochaguliwa na wabunge.

1. Josephine Lemoyan
2. Pamela Maasay

Wabunge: 9
Wanaume: 4
Wanawake 5
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

UZINDUZI WA EMAUS KWAYA YA GEITA

JOEL MADUKA