habari habari UKWELI WA MADAI YA SUMU KWA WANAFUNZI GEITA YAJULIKANA. JOEL MADUKA 6:53:00 AM Shule ya EMACO VISION iliyopo Mjini Geita ambayo ndiyo inasadikika mwanafunzi kuwawekea sumu wanafunzi wenzake. Mzazi wa mtoto ana... Read more »
habari habari ZAIDI YA BIL 40 KUTUMIKA KUJENGA MTAMBO WA KUPOZA UMEME GEITA JOEL MADUKA 10:29:00 AM Serikali kupitia wizara ya Nishati imetenga kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 40 ambazo zitatumika kujenga mradi wa kituo cha kupoze... Read more »
habari habari MWALIMU AKAMATWA KWA KUJIHUSISHA KIMAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE JOEL MADUKA 8:23:00 AM Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,Mponjoli Mwabulambo akifafanua juu ya hatua ambazo wamezichukua kwa mwalimu Noel Seleman ambaye a... Read more »
habari habari RAIS MAGUFULI ATAMANI WAFANYAKAZI TTCL WAONGEZEWE MISHAHARA KWA KAZI NZURI WANAYOFANYA JOEL MADUKA 6:40:00 AM Kutokana na faida waliyoipata mwaka 2017 hadi kutoa gawio la Sh1.5 bilioni kwa Serikali, Rais John Magufuli amesema wafanyakazi wa Shirik... Read more »
habari habari HOFU YA WANAWAKE YADAIWA KUSABABISHA WAPOTEZE HAKI ZAO KWENYE JAMII JOEL MADUKA 12:56:00 AM Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y... Read more »
habari habari APIGWA RISASI MAKALIONI AKITUHUMIWA KWA UTEKAJI WA WATU GEITA JOEL MADUKA 7:32:00 AM Kamanda wa Polisi Mkoani Geita,Mponjoli Mwabulambo akizungumza na waandishi wa habari juu ya matukio mbali mbali ambayo yametokea Mkoani h... Read more »
habari habari VIONGOZI 11 WA UPINZANI WARUSHIWA KOMBORA LA UFISADI ZITTO KABWE ATAJWA KUWA NI NAMBA MOJA JOEL MADUKA 8:34:00 AM Mwanasheria Patrobas Katambi. Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), ambay... Read more »
habari habari MOTO WATEKETEZA MADUKA NANE JOEL MADUKA 8:18:00 AM Na Stella Kalinga, Simiyu Moto ambao hadi sasa chanzo chake hakijafahamika umeteketeza maduka nane , stoo pamoja na ma... Read more »
habari habari WANANCHI WA NYAKAGWE WAIOMBA SERIKALI KUWATENGENEZEA DARAJA JOEL MADUKA 9:57:00 AM Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyakagwe wakivuka Mto kwa kuvua viatu kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye eneo hilo. Mwananchi ... Read more »
habari habari WAZAZI WATAKIWA KUACHA KUWAAGIZA WATOTO MAENEO YA MGODI WA GGM JOEL MADUKA 9:44:00 AM Watoto wakiwa kwenye shimo la kutupia uchafu ndani ya mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM)wakiogota vyuma chakavu vinavyokuwa vimetupwa na mgod... Read more »
habari habari WAVUVI KATA YA NKOME WALALAMIKIA KUONEWA NA WATU KUTOKA IDARA YA UVUVI JOEL MADUKA 6:23:00 AM Wavuvi wa mwalo wa Makatani kata ya Nkome wilayani Geita wakiendelea na maandalizi kwaajili ya kwenda kwenye shughuli ya uvuaji wa dagaa.... Read more »