KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DC WA MISUNGWI

Share it:
jui1
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda ( wa pili kulia) wakati alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.
jui2
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga(kulia) alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.
jui3
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bw.Elliurd Mwaitekele(kushoto) akifafanua jambo kwa  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(hayupo Pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi hivi karibuni kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii  Jinsia, Wazee na Watoto Bi Deodata Makani na Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi kutoka Wizara hiyo Bi. Martha Chuma.
jui4
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bw.Elliurd Mwaitekele(kulia) wakati wakijadiliana jambo mara baada ya Katibu Mkuu huyo kutembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi hivi karibuni.
jui5
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe.Juma Samwel Sweda(kulia) wakati wakijadiliana jambo mara baada ya Katibu Mkuu huyo kutembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya huyo hivi karibuni.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza.
jui6
Share it:

habari

Post A Comment: