NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO SPORTPESA SUPER CUP

Share it:
 Wachezaji wa timu ya Nakuru All Stars ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, jioni ya leo Juni 4, 2017  kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’ inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo mechi ya kwanza itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang’ombe Boys Fc.
 Wachezaji wa nakuru All Stars wakishuka katika gari lao walipowasili uwanja wa Karume kuanza mazoezi, leo jioni.

 Daktari wa timu akimchua mchezaji misuri kabla ya kuanza mazoezi…
 Dua na maelekezo kabla ya kuanza mazoezi…
 Mazoezi ya viungo
 Wachezaji wakiapasha misuri moto
 Makipa wa timu hiyo wakipasha misuri moto.
 
 
Share it:

michezo

Post A Comment: