MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ AMEMPOSTI MTANDAONI MENEJA WA ALIKIBA

Share it:
Tokeo la picha la meneja wa diamond

Kali nyingine imeibuka Mitandaoni siku ya leo, Naam ‘Uchekechaji’ wa Udiamond na Ualikiba unatupa kingine cha kuzungumza kwenye mitandao tena hasa pale mjini Instagram.
Katika zile lugha za Kimitandao siku ya Jumatano hupewa ‘Kinashi’ cha ‘WCW’ (Woman Crash Wednesday) yaani kumposti Mwanamke aliyekonga hisia zako na kumuhusudu zaidi.

Kilichowashangaza Mashabiki wengi zaidi kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni bifu baina yao.

Leo meneja wa Kimataifa wa Muimbaji Diamond Platnumz, Sallam ‘Mendez’, amemposti Meneja wa Hasimu wao Kibiashara, Mrembo Seven Mosha kama #WCW wake.

PicsArt_10-26-01.23.59
Share it:

JOEL MADUKA

mastaa

Post A Comment:

Also Read

WACHIMBAJI WADOGO GEITA WAPEWA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAJANGA KWENYE SHUGHULI ZA UCHIMBAJI

Baadhi ya wachimbaji wadogo wakifuatilia mafunzo ambayo yalikuwa yanatolewa na wakala wa afya na usalama mahari pa kaz

JOEL MADUKA