MAHAKAMA YATOA KIBALI CHA LISU KUKAMATWA

Share it:
Tokeo la picha la tundu lissu bungeni

 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kutokana na kushindwa kufika mahakamani hapo kusikiliza keshi yake.

Hati hiyo imetolewa leo(Alhamisi) na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wakili wa Serikali, Patrick Mwita kuomba mahakama ifanye hivyo.


Pamoja na kwamba mdhamini wa Lissu aitwaye Robert Katula kueleza kuwa Lissu yuko Mwanza kwa ajili ya kesi nyingine hakimu Sima alitoa kibali kumkamata.
Share it:

habari

Post A Comment: