MAJINA 24 YA KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHO MENYANA NA ZIMBABWE NOV 13 2016

Share it:



Tokeo la picha la taifa stars mazoezini

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars November 13 2016 itacheza dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki, Taifa Stars itacheza mchezo huo wa kirafiki katika mji wa Harare Zimbabwe.

Leo November 4 2016 yametajwa majina 24 ya wachezaji watakaiongoza Tanzania kucheza dhidi ya Zimbabwe, majina yote 24 yakiongozwa na nahodha wao Mbwana Samatta yamechaguliwa na kocha mkuu Charles Boniface Mkwasa.



Share it:

michezo

Post A Comment: