ALEX MSAMA HATOA MSAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR ES SALAAM

Share it:
w. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwakituo cha Mwandalio cha Vetenary Temeke.
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha Honorata Temeke.
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwa Bi.Zainab Bakari mlezi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Maunga Yatima Centre kilichopo Kinondoni jijini Dar es salaam wakati alipotembelea kituoni hapo na kuzungumza na watoto, Msama aligawa chakula pia katika vituo vya Honorata Temeke, Shifaa Bunju na Mwandalio kilichopo Temeke Vetenary vyote vya jijini Dar es salaam


Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

WACHINA WAWILI WAFARIKI MGODINI

Raia wawili wa Nchini China wamefariki Dunia wakati wakiwa ndani ya shimo lenye kina cha Urefu wa zaidi ya mita 10

JOEL MADUKA