MTI WA MAHAJABU WASIMAMA GEITA

Share it:
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa mtaa wa samina kata ya mtakuja wilaya na Mkoa wa Geita wamejikuta wakiingiwa na taaruki ni baada ya mti mbwa ulionguka kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kukuta umesimama wenyewe.


MADUKAONLINE imefika katika eneo la Tukio hilo leo majira ya saa tano asubuhi na kukuta mamia ya wananchi kutoka katika Mkoa wa Geita na Viunga vyake wakiwa wanachimba mizizi ya mti huo pamoja na kuchukua magome yake kwa madai ya kwenda kuomba matatizo yao.
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

WAZIRI JAFO AAGIZA UJENZI WA KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi

JOEL MADUKA