![]() |
VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE) Habari za siku mpenzi msomaji wa blog hii, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia blog yangu iwapo una maoni au chochote unaweza kuwasiliana Nami, pamoja na hayo leo ninazungumzia ugonjwa hatari unaowanyima raha wengi wetu kutokana na Hali halisi hivyo kuwafanya watu kuwa wazito kutafuta dawa, VIDONDA VYA TUMBO NI NINI??? Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika kwa uteute wa ndani ya ukuta wa tumbo la Chakula au ndani ya utumbo mdogo wa Chakula na matokeo yake ni ukuta wa tumbo kugusana na tindikali iliyoko tumboni ambayo ni kali sana kama maji ya betri
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE) Kuna aina nyingi za vidonda vya tumbo navyo ni
HATUA KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO ni vizuri kufaham kwamba huu ugonjwa una hatua nne ambazo ni muhimu HATUA YA KWANZA ~hatua ya kwanza ya huu ugonjwa ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo, HATUA YA PILI~hapa vijidonda hujitokeza sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hvyo huongezeka na kua vikubwa katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu (CHRONIC DYSPEPSIA) yani kushindwa kufanya Kaz kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia Kwenye mzunguko wa dam hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayar iko katika mfumo mzima wa damu HATUA YA TATU ~hii ni hatua ambayo ni ya hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumbon na kubadilisha rangi ya choo kuwa ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula. HATUA YA NNE ~katika hatua saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO ~Dalili za vidonda vya tumbo ni nyingi ila sio wote wanaopata Dalili hizi Wana vidonda vya tumbo
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU ~matibabu ya ugonjwa huu yanapatikana vizuri nchini mwetu ila tatzo ni tiba yenyew kutokua na wataalamu wa kutosha wa kutibu chanzo cha tatizo na kumaliza tatizo pasipo kuleta matatzo mengine kutokana na matibabu yenyew kuhusisha mfumo wa dawa za kemikal ambazo Zina madhara kwa mhusika na pia Zina maudhi mengi hivyo tiba bora kwa vidonda vya tumbo ni mlo kamili na dawa ziszo na kemikal pia tunapaswa kuepuka baadhi ya vyakula na kuzingatia masharti MAMBO YA KUFANYA KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
MAAJABU YA ALOE-VERA
Mmea huu wa Aloe-Vera una maajabu mengi maana umekua ukisaidia mamia ya watu kutibu magonjwa Zaidi ya miambili kama utaitengeneza juice yake ukainywa hutibu vidonda vya tumbo na kiungulia pia kwa ujumla husafisha mfumo wote wa Chakula hata hivyo wengi wanashndwa kuutumia kutokana na kushindwa kuvumilia uchungu wake HABARI NJEMA KWENU tumeweza kutengeneza vidonge kupitia Aloe-Vera ambavyo vinatibu vidonda vya tumbo na kuondoa sumu ktk mwili na dawa hii inatibu magonjwa Zaidi ya Mia mbili wahi kujipatia dawa yako ya vidonda vya tumbo acha kuteseka na uchungu wa Aloe-Vera unayoitengeneza wew mwenyew na hivyo kukupatia baadhi ya madhara kama vile kuharisha kupita kiasi |
Navigation
Post A Comment: