YATAZAME HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2016

Share it:



Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>FTNA 2016
Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI UJENZI WA BWAWA LA UMWAGILIAJI CHATO

Wananchi wa kijiji cha Nyisanzi wakiwa kwenye Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Chato Dkt , Medard Kalemani  wakimsik

JOEL MADUKA