ASKALI 12 WASIMAMISHWA KAZI KUTOKANA NA KUWA NA TUHUMAZA KUJIUSISHA NA BIASHARA YA MIHADARATI

Share it:


Image result for igp ernest mangu

Kufuatia tuhuma zilizotolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda zikiwahusisha baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu amewasimamisha kazi Askari 12 waliotuhumiwa ili uchunguzi ufanyike dhidi yao.

Akizungumza na vyombo vya habari muda mfupi uliopita, IGP Mangu alisema ni lazima Jeshi la polisi lichukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo, hata kama ni askari.

"Jeshi la Polisi linachukua hatua madhubuti za kuwachunguza Askari na Wasanii wote waliotuhumiwa na baada ya uchunguzi kumamilika hatua za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakayethibitika kwa uhalifu huo"alisema IGP Mangu.

Pia IGP Mangu ameiomba jamii kuendelea kutoa taarifa za uhalifu wa aina yeyote ili nchi iendelee kuwa salama. Hapo chini ni Majina ya Askari wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya Madawa ya kulevya, ambao wamesimamishwa kazi.

Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

“WATENDAJI KAMATENI WATORO NA WAZAZI WAO” DC KAPUFI

Na,Bathoromeo Chirwa  Mkuu wa wilaya ya Geita  Mwalimu Herman   Kapufi amekutana na watendaji wa

JOEL MADUKA