JE,UNAJUA SABABU NI KWANINI HAUNA PESA FATANA NAMI HAPA

Share it:

Inawezekana ukawa unafanya kazi ama biashara nzuri inayokuingizia kipato cha kutosha lakini kutokana na sababu usizozijua huwa ukijikuta ni mtu wa kuishiwa na kujikuta kuwa huna pesa. Kama umekuwa ukiishi hivi na kuwa mtu wa kuishiwa na kushindwa kuwa na pesa za kutosha, makala hii ni muhimu sana kwako. Je, unajua ni sababu zipi zinakufanya ushindwe kuwa na pesa ya kutosha katika maisha yako?

Hizi hapa
1. Una tabia mbaya zinazokuzuia kupata pesa. Kama ulevi, matumizi mabaya ya pesa, kuangalia TV kwa muda mrefu. n.k
2. Unazungukwa na watu wengi ambao sio sahihi kwako.
3. Umekuwa mwongeaji sana bila kuchukua hatua.
4. Hauna mipango maalumu.
5. Umekuwa ukikata tamaa mapema.
6. Umekuwa ni mtu wa kupoteza muda sana.
7. Umekuwa huna tabia ya kujiwekea akiba.
Share it:

JOEL MADUKA

Darasa huru

Post A Comment:

Also Read

WAKAZI WA GEITA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU KWA WATOTO WAO

Askofu wa Kanisa AIC Dayosisi ya Geita Mussa Magwesela akizungumza na wahumini wa kanisa hilo waliojitokeza kumpokea k

JOEL MADUKA