KAULI YA HALIMA MDEE BAADA YA ASKOFU GWAJIMA KUMTAKA AMUOMBE RADHI SPIKA WA BUNGE.

Share it:
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima jana  alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana. Gwajima alisema, kama hatafanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo 'kumchapa' Hadharani

 Kutokana na madai hayo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima

"Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.

"Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO."
Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 

Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

ISRAELI: TUPO TAYARI KUKAIBILI IRANI KWA HALI YOYOTE HATA KAMA NI KWA "MAPAMBANO"

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema kuwa Iran inawapa Syria silaha zenye ubora zaidi ambazo nitishio kw

JOEL MADUKA