MBUNGE DOTO AENDELEA NA HARAKATI ZA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA BUKOMBE

Share it:



 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na baadhi ya wamama waliokuepo kwenye Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata ya Igulwa kwa ajili ya kuwachukulia watoto wao  vyeti vya kuzaliwa. 

 Picha ya hatua iliyofikiwa ya jengo la Kituo cha Afya kinachojengwa Kata ya Igulwa kutokana na nguvu za wananchi na mfuko wa maendeleo wa Kata.

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akipokea risala kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Igulwa Bi. Gaudensia Dalali na kuwashukuru kwa hatua waliyoifikia pamoja na kuwaahidi kuwaletea mabati ya kutosha kwa ajili ya upauaji wa jengo hilo.
Share it:

JOEL MADUKA

HABARI PICHA

Post A Comment:

Also Read

WAFANYABIASHARA WAASWA KUTOPANDISHA BEI WAKATI WA MWEZI WA RAMADHAN

Wafanyabiashara wakiendelea na shughuli ya kuzaa bidhaa ambazo zimekuwa zikitumika zaidi karika Mfungo wa mwezi wa Ram

JOEL MADUKA