MESSI AINYONGA MADRID,AFUNIKA SHOO EL CLASICO

Share it:
Football Soccer - Real Madrid v FC Barcelona - Spanish Liga Santander - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - 23/4/17 Barcelona's Lionel Messi celebrates scoring their third goal Reuters / Stringer Livepic
Mshambuliaji wa  Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ndio ameonekana kuwa hatari zaidi kwa kumsababishia Sergio Ramos kupata kadi nyekundu ya 22 katika historia yake ya soka kutoka na kumchezea Lionel Messi faulo dakika ya 77, Lionel Messi ndio alikuwa hatari na kufanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 33 na 90 baada ya Ivan Rakitic kufunga goli la pili dakika ya 73.
Wakati magoli ya Real Madrid yalifungwa na Casemiro dakika ya 28 na James Rodriguez dakika ya 85 akitokea benchi, ushindi huo wa FC Barcelona unavunja rekodi yaa Real Madrid ambao walikuwa wamecheza mechi 22 bila kufungwa katika uwanja Santiago Bernabeu toka February 27 2016.
Screen-Shot-2017-04-24-at-12.18.42-AM
Share it:

JOEL MADUKA

michezo

Post A Comment:

Also Read

ONGEZEKO LA WATU, WATUMIAJI WA SIMU KUKUZA BIASHARA ZA MTANDAONI AFRIKA

Na Jumia Tanzania Kuendelea kukua kwa ongezeko la idadi ya watu na watumiaji wa simu za mkononi barani Afrika ku

JOEL MADUKA