KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hilo kaburi lilindwe hata miezi mitatu mpaka hizo pesa ziharibike kwa joto maana la sivyo watuwangemfukuaje!..yaani asubuhi mwili ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani
Post A Comment: