PHILEMON NDESAMBURO AFARIKI DUNIA

Share it:

Image result for Philemon Ndesamburo


Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi.
 
Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.
 
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia.
Share it:

JOEL MADUKA

TANZA

Post A Comment:

Also Read

WAKULIMA KUNUFAIKA NA KILIMO CHA PAMBA GEITA

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa  uhuru Kitaifa Charles Kabeho akizungumza na kuwasisitiza wakulima wa zao la Pamba

JOEL MADUKA