MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA

Share it:

Mbunge wa Jimbo la Busanda Mkoani Geita,Lolesia Bukwimba akikabidhi komputa kwenye  idara ya vijana na wanawake kwenye ofisi za chama cha mapinduzi "(CCM)Mkoani Geita.

Mbunge wa Jimbo la Busanda akikabidhi komputa kwa Katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Geita.

Mbunge wa Busanda Lolesia Bukwimba ameeleza kuwa vifaa ambavyo amekabidhi kwenye ofisi ya CCM ni kutokana na hali ngumu ambayo walikuwa wakikutana nayo ya upungufu wa vitendea kazi kwenye Ofisi za CCM.

Nje ya ofisi za CCM Mkoa wa Geita.






PICHA ZOTE NA JOEL MADUKA WA MADUKA ONLINE
Share it:

HABARI PICHA

Post A Comment: