NI MLIPUKO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA, USIKOSE!

Share it:

Karibu kwenye mkutano huu mkubwa wa Injili uliondaliwa na kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza. Mchungaji Dkt.Daniel Moses Kulola atakuwa mwenyeji wa Mchungaji Mathias Roggers kutoka Marekani pamoja na waimbaji mbalimbali. Usikose!
Share it:

MATANGAZO

Post A Comment: