CCM YAIGARAGAZA VIBAYA CHADEMA ARUSHA UCHAGUZI WA UDIWANI...TAZAMA MATOKEO HAPA

Share it:


Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashari ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.

Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na

Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki

Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.

Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.
Share it:

JOEL MADUKA

SIASA

Post A Comment:

Also Read

WANAUME 800 WAFANYIIWA TOHARA GEITA

Baadhi ya vijana waendesha Piki piki (Boda boda)Wakionesha mfano wa namna mwanaume anaweza kujikinga na maambukizi ya

JOEL MADUKA