TAYARI AMEKWISHA LULU KUWASILI MAHAKAMANI KWAAJILI YA KUSIKILIZA HUKUMU YAKE.

Share it:
Lulu Awasili Mahakamani Kusikiliza Hukumu Yake
Tayari mwigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michaeli maarufu kama Lulu amewasili mahakamani kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili, ya kumuua Steven Kanumba bila kukusudia.

Amewasili mahakamani akiongozana na wakili wake Peter Kibatala kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi yake.

Lulu anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia msanii mwenzake Steven Kanumba.

Watu mbalimbali wamejitokeza kufuatilia huku hiyo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Share it:

JOEL MADUKA

UDAKU

Post A Comment:

Also Read

UJUMBE MZITO WA PASAKA TOKA KWA MAASKOFU WA KKKT

Bwana wetu Yesu Kristo mfufuka, alipowatokea wanafunzi wake wakiwa wamejifungia ndani kwa hofu ya Wayahudi, ali

JOEL MADUKA