Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Constatine Kanyasu akizungumza na wananchi wa mtaa wa Nyamalembo kata ya Mtakuja wakati wa mkutano wa kiutendaji ambao ulikuwa na lengo la kusikiliza kero zao. |
Wananchi wa mtaa wa Nyamalembo wakimsikiliza mbunge wakati alipokuwa akizunguza nao juu ya suala la maendeleo pamoja na changamoto ambazo wanazipata kutokana na mgodi wa GGM. |
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Geita,Ally Rajabu akisistiza wananchi kuendelea kukiamini chama hicho na kumuombea Rais Magufuli wakati wa Mkutano wa mbunge wa jimbo la Geita Mjini. |
Post A Comment: