Breaking News!! BASI LA NEW FORCE LAPATA AJALI

Share it:






















Taarifa tulizozipata hivi punde leo Jumatatu,Septemba 19,2016 ni kwambaBasi la New Force limepata ajali mkoa wa Njombe muda si mrefu na watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

RPC anaendelea kutoa huduma katika tukio hajatoa taarifa rasmi.
Share it:

matukio

Post A Comment: