HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI (W),
S.L.P 02,
USHIROMBO,
BUKOMBE.
TAARIFA KWA UMMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
Anapenda Kuwataarifu Wananchi wote wa Wilaya ya Bukombe kuwa tarehe07/09/2016hadi tarehe 08/09/2016.
Jumla ya Wanatahiniwa 3975 watafanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Wasichana wakiwa
2062 na Wavulana1913.
Shule za Serikali 75
na shule ya Binafsi 1 Jumla ya Shule
76 kwa Mwaka huu zinataraji wa kufanya
Mitihani ya darasa la Saba WilayaniBukombe.
Hivyo Ukiwa Kama Mzazi, Mlezina Jamii ya Bukombe ni jukumu Letu kuwa ombea Wanafunzi wetu wa Darasa
la Saba Mtihani Mwema Mungu akawaongoze kufanya Vyema.Pia Mkurugenzi Mtendajiwa
Halmashauri ya Wilaya Anasisitiza watahini
Kufuata taratibu zote watakazo elekezwa na wasimamizi na
kuwa watulivu kipindi chote cha kufanya Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi
_Nawatakiakilakheri.
Imetolewana;
AfisaHabari
BUKOMBE.
06/09/2016
Post A Comment: