TETEMEKO LAUA BUKOBA LAANGUSHA NYUMBA.

Share it:

             
Nyumba zikiwa kwenye wakati mgumu.

Nyumba zikiwa zimedondoka baada ya tetemeko kupita



BREAKING NEWS!!! nyumba kadhaa zimeanguka mjini manispaa na halmashauri ya Bukoba, baada ya kutokea tetemeko la ardhi ambayo kipimo chake akijaripotiwa, huku taarifa kutoka Misenyi zinasema taharuki imetanda na wakaazi wametoka nje ya nyumba ilhali taarifa za majeruhi na vifo hazijatolewa ingawa tumeshuudia watu wakikimbizwa hospitalini. Tutawaletea undani wa taarifa hizo endelea kufatilia Maduka online.
Share it:

JOEL MADUKA

matukio

Post A Comment:

Also Read

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATANO 23 MAY 2018

JOEL MADUKA