KARAGWE,Wakazi Watatu Wa Kijiji Cha Rugela Kata Ya Rugela Wilaya Ya Karagwe Mkoani Kagera Ambao Ni Finias Alexanda (28) Eliudi Onesmo (23) Na Simioni Selestine (35)Wamefikishwa Katika Mahakama Ya Wilaya Hiyo Kwa Tuhuma Za Kubaka Bibi Kizee (62).
Akisoma
Shitaka Hilo Mbele Ya Hakim Wa Mahakama Hiyo Victor Bigambo Mwendesha Mashitaka Wa Jeshi La Polisi Zena
Waziri Amesema Kuwa Watuhumiwa Walitenda Kosa Hilo Agast 26,2016 Majira Ya Saa
Nne Siku.
Aidha
Watuhumiwa Wamekana Kosa Linalowakabili Na Wamerudishwa Lumande Hadi Kesi Hiyo
Itakaposikilizwa Tena Mahakamani Hapo.
Hata Hivyo
Bibi Huyo Amelazwa Katika Hospitali Ya Nyakahanga Wilaya Ya Karagwe Kutokana Na
Maumivu Waliyo Msababishia Na Huku Upelelezi Ukiendelea.
Imeandaliwa na Emmanuel Julius.
Post A Comment: