|
Kikundi cha kwaya kutoka darasa la sita shule ya Aloysius English Medium ,wakitumbuhiza katika sherehe hizo. |
|
Meza kuu ikifatilia kwa umakini kile kinachoendelea. |
|
Wahitimu wa darasa la saba,wakiwa wanamsikiliza mgeni rasimi. |
|
Wageni waalikwa pamoja na wazazi. |
|
Wanafunzi wahitimu wakiingia uwanjani kwaajili ya burudani.'
|
|
Vijana wakionesha ustadi wao wa kuimba. |
|
Muziki wa Dasi na wenyewe ulikuwepo. |
|
Mkuu wa shule ,sister Zabinus Mrema akimkaribisha mgeni rasimi kugawa vyeti. |
|
Zoezi la ugawaji wa vyeti likaendelea. |
|
Baada ya zoezi hilo Mgeni rasimi ambae ni Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini,Constatine Kanyasu akatoa neno kwa wanafunzi. |
|
Zoezi la kukata keki baada ya hotuba ya mgeni rasimi. |
GEITA:Wazazi
Na Walenzi Mkoani Geita,Wametakiwa Kuweka Nguvu Kubwa Ya Kuakikisha
Wanawasomesha Watoto Wao Na Kuachana Na
Dhana Ya Kukwepa Gharama Katika Kusomesha Watoto.
Rai Hiyo
Imetolewa Na Mbunge Wa Jimbo La Geita
Mjini Constantine Kanyasu Wakati Alipokuwa Mgeni Rasimi Katika Mahafali
Ya Tatu Ya Shule Ya Msingi Ya Aloysius
English Medium Iliyopo Mkoani Hapa.
Amesema Kuwa
Ni Wajibu Wa Wazazi Kuakikisha
Kwamba Wanawajengea Mazingira Mazuri ya Watoto Kupata Elimu Bora Ambayo Itawasaidia Kukabiliana Na Swala La Utandawazi
Pamoja Na Soko La Ajira.
“Natambua Faida Ya Kusomesha Watoto Na Umuhimu
Wa Elimu Napenda Kuwasihi Wazazi Wenzangu Kuweka Nguvu Kubwa Ya Kusomesha
Watoto Kwani Tunaamini Kuwa Watoto Ni Taifa La Kesho.”Alisema Kanyasu.
Aidha Kwa
Upande Wao Wazazi Waliokuwepo Katika Mahafali Hayo ,Samwili Hewa Na Bi Merry
Peter,Wamewashauri Wazazi Kuwaendeleza Wanafunzi Waliomaliza Darasa La Saba Kwa
Madarasa Ya Kidato Cha Kwanza Ya Awali Na Kuachana Na Swala La Kuwaweka
Nyumbani Kusubiria Matokeo.
Hata Hivyo
Wanafunzi Ambao Wamemaliza Darasa La Saba Katika Shule Hiyo, Sarafina Alex Na
Aloyce Revocatus,Wamewashauri Wanafunzi Ambao Wamebaki Shuleni Hapo Kusoma Kwa
Bidii Na Kuwa Na Nidhamu Ili Waweze
Kufikia Malengo Na Ndoto Walizojiwekea.
Kwaupande
Wake Mwalimu Marithin Ndola,Amesema Kuwa Wamewaanda Watoto Na Kuwapa Maadili
Mema Na Wanaamini Watakuwa Vizuri Na Kuwa Nandhimu Hata Baada Ya Kuwa
Wamemaliza Masomo Yao Ya Darasa La Saba Shuleni Hapo.
meandaliwa
Na Joel Maduka.
Post A Comment: