ZOEZI LA MAMA LWAKATARE KUTOA WAFUNGWA GEREZANI LAKUTANA NA MISUKO SUKO

Share it:

Serikali imesitisha zoezi la kuwalipia faini na kuwatoa wafungwa gerezani, lililokuwa likifanywa na mchungaji wa kanisa la Assemblies Of God maarufu kama ‘Mlima wa moto’ Dr Getrude Lakwatare mpaka pale utaratibu mwingine utakapotolewa.

Mkuu wa magereza mkoa wa Dodoma, Antonia Kilumbi alisema amepata maelekezo ya kusitishwa kwa mpango huo kutoka ngazi za juu za jeshi hilo. Mpango huo ulikuwa unafanywa na mwenyekiti wa taifa wa bodi ya Parole, Augustine Mrema na Mama Lwakatare.

Mrema alisema lengo la mpango huo ni kuisaidia serikali kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani huku ikiipunguzia serikali gharama ya kuhudumia wafungwa hao. 
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

AJALI YA BASI YAUA MMOJA GEITA

Basi la Kampuni ya Mkwema lililosababisha umauti wa mtu mmoja likiwa limepakiwa pembeni kwenye maeneo ya Nyankumbu mji

JOEL MADUKA