KAMATI YA BUNGE YA PIC YAPEWA MAFUNZO JUU YA UWEKEZAJI KATIKA MASHIRIKA YA UMMA

Share it:

  Msajili wa Hazina Dkt Oswald Mashindano akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya  Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wabunge hao juu ya uwekezaji katika mashirika ya umaa. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Albert Obama.Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dhow Financial Prof Mohamed Warsame akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya  Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC)  juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umaa.



Waheshimiwa Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya  Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC)  wakifuatilia  mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya uwekezaji katika mashirika ya Umma.

Share it:

habari

Post A Comment: