![]() |
Mafunzo ya vitendo yakiendelea kwa Madereva. |
![]() |
Baadhi ya madareva wakifuatilia mafunzo ya darasani. |
![]() |
Awapo chini ya ulinzi ni kazi ya mafunzo ndio inaendelea hapa kwa ushirikiano wa jeshi la polisi kikosi cha usalama Barabarani.
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Mkoani Geita kwa kushirikiana chuo cha Future World kutoka Makao makuu Jijini Dar es salaam Wanawatangazia Madereva wote wa gari za abiria na wanaotegemea kuwa madereva wa magari ya Abiria kuwa wateendesha Mafunzo kwa madereva wote wa gari hizo kwa muda wa wiki mbili yatakayofanyika kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi Geita Mjini.
Muda ni kuanzia saa 10 jioni hadi saa Moja jioni kuanzia Tarehe 30 mwezi wa tatu .
Kwa Mawasiliano na Jinsi ya Kushiriki kwenye Mafunzo hayo unaweza kuwasiliana kwa namba 0758048513, 0783332527.
Fursa hii ni ya Muhimu si ya kukosa.
|
Post A Comment: