![]() |
Shangwee zikiendelea kwa kishindo na msisimko. |
![]() |
Uwimbaji ni sehemu ya maisha kwa mwimbaji hapa Bi,Pendo Kihayile akiongoza ibada ya kuabudu |
![]() |
Pendo Kihayile na Geoffrey Charles wakiwa kwenye picha ya pozi.. |
![]() |
Self kama kawaida zilizusika zaidi. |
Juma pili ya tarehe 26 mwezi march Mwimbaji wa nyimbo za injili anayetokea jijini Mwanza Kwenye kundi la Kihayile Pendo Kihayile alimtambulisha Mchumba wake na mume wake mtarajiwa Bw ,Geoffrey Charles kwenye kanisa la EAGT MITO YA BARAKA Jijini Dar es salaam.
Maduka online inawatakia maadalizi mema ya Ndoa yenu na kila hatua ambayo itaendelea .
IMEANDALIWA NA MADUKA ONLINE.
Post A Comment: