SAKATA LA MAKONDA LATUA TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Share it:

Wananchi wa Dar es Salaam wakiongozwa na Bonifance Jocob (Mstahiki Mayor wa Manispaa ya Ubungo) wamemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa Daudi Bashite (Paul Makonda) kwenye  Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Makonda anatuhumiwa kwa makosa matano ambayo ni Kughushi vyeti vya elimu yake, kujipatia mali kwa udanganyifu,kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na kuvamia kituo cha radio Clouds fm.

Akizungumza na waandishi wa habar njee ya ofisi za Tume hiyo Boniface amesema tayari amekabidhi   malalamiko yao kwenye ofisi ya Kamishna kwa ajili ya hatua zingine ambazo wao wataona zinafaa.

Boniface  amesema " Tayari nimekabidhi malalamiko yangu ambayo nimeambatanisha na vielelezo vyote ambavyo vitatumika kama ushaidi wa awali hivyo ninawaacha Tume wafanye kazi yao."

Boniface amesema kama Tume wakihitaji ushaidi zaidi yupo tayari kuthibitisha ili Mkuu huyo wa  Mkoa awajibishwe kutokana na tuhuma zinazo mkabiri













Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUOMBA MIKOPO GEITA

Mkuu wa wilaya ya Nyang'hwale Hamim Gwiyama akikata utepe pamoja na meneja wa NMB kanda ya ziwa Abraham Augustino 

JOEL MADUKA