VYOMBO VYA HABARI VYATANGAZA KUTOKUTOA USHIRIKIANO NA RC MAKONDA.

Share it:
UKUKI
 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika habari za matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita alivamia kituo cha Clouds Media usiku akiwa na askari waliokuwa na bunduki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati na Mjumbe wa TEF, Lillian Timbuka.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
 Meena ambaye alisoma  tamko la pamoja la TEF, Dar es Salaam Press Club na Umoja wa Vilabu vya Habari nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari
 Wanahabari wakiwa kazini
 Meena akifafanua jambo


 Meena akisisitiza kuwa mwandishi yeyote atakayekiuka tamko hilo kwa kwende kwenye matukio ya RC Makonda, litakalompata TEF haitahusika kwa lolote.
Share it:

JOEL MADUKA

HABARI PICHA

Post A Comment:

Also Read

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 23, 2018

JOEL MADUKA