habari MWIGULU NCHEMBA AJIBU KUHUSU MADAI YA BASHE NA RAIA KUTEKWA JOEL MADUKA 12:44:00 PM Share it: Facebook Twitter Mwigulu anasema kuna vitu vingi, moja ni tofauti kati ya kukamatwa na kutekwa, kama serikali imekukamata itakuwa ni rasmi na njia za wazi itakupa sababu ya kukukamata ..Je Bashe alikamatwa au alitekwa?
Post A Comment: