ZITTO KABWE: SERIKALI HAIJAWASILISHA TAARIFA YA CAG BUNGENI LEO, IMEVUNJA KATIBA

Share it:






Amendika katika ukurasa wake wa facebook,kwamba serikali hutakiwa kuwasilisha taarifa ya CAG bungeni ndani ya siku saba tangu kuanzia kwa bunge la bajeti.

Anasema mpaka sasa taarifa hiyo haijawasilishwa hivyo kuvunja katiba ya jamhuri inayotaka iwasilishwe ndani ya Siku saba.
Share it:

SIASA

Post A Comment: