POLISI SABA WADAIWA KUUAWA KWA RISASI USIKU WA LEO..

Share it:


Ikwiriri. Polisi saba waliokuwa doria katika Kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kuuawa usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo, lakini akasema taarifa zaidi zitatolewa na kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani.

Taarifa za uhakika zilizolifikia Mwananchi Digital zimeeleza kuwa polisi hao walikuwa kwenye gari wakirejea kituoni kutoka doria na walishambuliwa na watu waliotokea msituni.
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

URUSI NAYO IMEJIBU MAPIGO.....WANADIPLOMASIA 60 WA MAREKANI WATIMULIWA, UBALOZI WAFUNGWA

Urusi imewafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani, na kufunga ubalozi uliopo St Petersburg ikiwa ni majibu kwa kitendo

JOEL MADUKA