RAIS MUGABE KATIKA MUONEKANO MPYA...!!!

Share it:



Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwa mara ya kwanza amepigwa picha akiwa amenyoa nywele zake wakati alipohudhuria mazishi ya mwanajeshi wa zamani.

Wengi wanaamini ni mara ya kwanza Mugabe kunyoa nywele zake na hata ndevu.

Picha hizo zimeonekana baada ya kuchapishwa katika mitandao ya kijamii na kuvutia watu wengi hasa raia wa Zimbabwe waliotoa maoni yao.

Baadhi wamesema kuwa mtindo alionyoa umechangia aonekane kijana huku wengine wakisema kuwa wameshangaa kitendo hicho na kujiuliza lengo lake ni lipi.
Share it:

JOEL MADUKA

KIMATAIFA

Post A Comment:

Also Read

“SERIKALI AINA TATIZO NA SEKTA BINAFISI “NAIBU WAZIRI OLE NASHA

Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha kizungumza kwenye mahafari ya Tatu ya shule za wavulana na wasichana za Sekond

JOEL MADUKA