HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA MKOANI GEITA

Share it:



Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii kupitia mfuko wa Taifa wa Bima ya afya inapenda kuwatangazia Wakazi wa Mkoa wa Geita na maeneo jirani kuwa kutakuwepo na huduma za madaktari Bingwa kuanzia tarehe 22 hadi 26 mei 2017

Huduma hizo zitatolewa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita.
Wananchi wote wanaohitaji kupata huduma hizo wafike katika Hospitali za Wilaya na Mkoa kuonana na Madaktari waliopo katika Hospitali hizo kabla ya tarehe hizo ili kupata ushauri wa kuanzia kabla ya kupata huduma hizo(MEDICAL SCREENING).


Share it:

MATANGAZO

Post A Comment: