WANANCHI JIJINI MWANZA WAPATIWA TIBA YA VIUNGO NA USHAURI BURE

Share it:
Ni katika viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimetoa fursa kwa wanchi kupata huduma ya tiba ya viungo na ushauri bure.
Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonard Subi akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Rais wa Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, bI.Neophita Lukiringi akizungumza kweny uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Rufaa Bugando, Dr.Merchedes Bugimbi akitoa salamu za pongezi kwa Watoa Tiba kwa Vitendo kwenye kongamano hilo.
Mwasisi wa huduma ya watoa tiba kwa vitendo nchini, Bi.Herma Grossmann akisalimia kwenye uzinduzi huo.
Mganga Mkuu wilaya ya Misungwi akisalimia kwenye uzinduzi huo.
Katibu wa TOTA, Dr.Godfrey Kimathy akizungumza na wanahabari kwenye kongamano hilo na kubainisha juu ya umuhimu wa watoa tiba kwa vitendo katika kuwasaidia watu wenye ulemavu na matatizo mablimbali kiafya ikiwemo ulemavu.
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRILI 25, 2018

JOEL MADUKA