Mkuu wa Mkoa wa Geita Meje Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akisalimiana na meneja mahusiano wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita(GGM) Bw,Manase Ndoroma wakati alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya maonesho. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meje Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akisalimiana na kuteta jambo na Meneja wa NSSF Mkoani Geita Shabaan Mpendu , wakati alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya maonesho. |
Mchezi Ngoma za asili kutoka Wilayani Chato akitoa Burudani wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Biashara Mkoani Geita. |
Msanii wa vichekesho ambaye anajulikana kwa jina la Mfupi kwenda chini akituzwa wakati alipokuwa akitoa Burudani kwenye maonesho. |
Kikundi cha Vichekesho cha Futuhi wakitoa Burudani . |
Brother K maarufu kwa jina la Tajiri wa Kigoma wa kikundi cha Futuhi akiendelea kufanya yake. |
Baadhi ya mabanda ambayo yapo kwenye maonesho. |
Afisa Masoko na uhusiano wa NSSF Makao makuu,Bi Aisha Sango akitoa maelezo kwa Mgeni Rasmi namna ambavyo wamekuwa wakitoa huduma na kusajili baadhi ya watu ambao wanajiunga na mfuko wa Bima ya Nssf. |
Meneja wa NSSF Mkoani Geita Shabaan Mpendu ,akiongezea juu ya mfuko wa NSSF ambavyo wameendelea kuboresha huduma za mfuko huo siku hadi |
Lango ka Kuingilia kwenye maonesho ya Bishara ya Fahari ya Geita. Picha Zote na Joel Maduka wa Maduka Online. |
Post A Comment: