MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MIRADI MINNE YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI MKOANI TABORA

Share it:
1 (1)
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora   wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega  Julai 23,2917.
1 (2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.
1 (3)
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora
1 (4)
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa  Julai 24,2017
1 (5)
1 (6)
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya  Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na  Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017
1 (7)
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akisalimia wananchi waliojitokeza  kwenye Ufunguzi wa Barabara ya  Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9  Mkoani Tabora Julai 24,2017
1(8)
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi
 Julai 23,2917.
Share it:

HABARI PICHA

Post A Comment: