Waziri Mkuu wa Tanzanja Mh,Kassim Majaliwa akiwasha Mwenge wa Uhuru pamoja na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mheshimiwa Jensita Mhagama.Kwenye viwanja vya Magogo Mjini Geita. |
Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wakifuatilia zoezi la uznduzi wa Mwenge wa uhuru. |
Waziri Mkuu,Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi pamoja na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa wa Geita. |
Waziri Mkuu,Mheshimiwa Kassim Majaliwa Akiwahutubia wananchi ambao walijitokeza kwenye shughuli ya kuwashwa kwa mwenge. |
Waziri Mkuu,Mheshimiwa Kassim Majaliwa ,Akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa mbio za Mwenge Kitaifa,Bw ,Charles Francis Kabeho. Picha na Joel Maduka |
Post A Comment: