MBUNGE WA BUSANDA AMEMSHUKURU RAIS MAGUFULI KUACHIA MAENEO YA UCHIMBAJI GEITA

Share it:

Mbunge wa Jimbo la Busanda Mkoani Geita,Lolesia Jeremia Bukwimba amempongeza Raisi kwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia eneo la Stamico  wachimbaji  wadogo wa Kijiji Cha Nyarugusu .
Mbunge wa Jimbo la Busanda Lolesia Jeremia Bukwimba akikagua na kuangalia mwamba wa dhahabu wakati alipowatembelea wachimbaji wadogo wa mgodi wa STAMICO uliopo kwenye Kata ya Nyarugusu.

Baadhi ya wachimbaji wadogo wa maeneo ya STAMICO wakishangilia baada ya kutembelewa na Mbunge wa Jimbo la Busanda.

Mbunge wa Busanda akipatiwa maelekezo na mmoja kati ya viongozi wa maeneo ya STAMICO.

Mchimbaji akimwonesha Mbunge Jiwe la mwamba wa dhahabu.

Maeneo ya wachimbaji ya STAMICO.

Wachimbaji wadogo wakimsikiliza Mbunge wakati alipokuwa akizungumza nao.
PICHA NA JOEL MADUKA WA MADUKA ONLINE..
Share it:

habari

Post A Comment: