Mwenge wa uhuru ukiwaks wakati ulipokuwa unakabidhiwa Mkoani Geita. |
Burudani kutoka Mkoani Kagera zikiendelea wakati wa kusubili Mwenge Kuingia Mkoani Geita. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu,Ezekiel Kyunga akiongozana na Wilaya ya Nyang'hwale . Hamim Gwiyama wakati alipokuwa akisalimiana na baadhi ya viongozi Kutoka Mkoani Kagera. |
Mchezo wa Ngoma ukiendelea kwenye viwanja vya Kijiji cha Mkolani Kata ya Bwongera wakati wa kusubilia Mwenge kukabidhiwa Mkoani Geita. |
Mwenge ukiingia kwenye viwanja vya mapokezi Wilayani Chato Mkoani Geita. |
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim Mustafa Kijuu akitoa taarifa ya shughuli za mwenge ambazo zimefanyika katika kipindi cha Siku nane kwenye Mkoa wake. |
Wananchi wakifuatilia zoezi la ukabidhiwaji wa mwenge wa uhuru. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu,Ezekiel Kyunga akipokea mwenge Kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salim Mustafa Kijuu wakati wa shughuli za Makabidhiano |
Kiongozi wa Mbio za mwenge Kitaifa,Amour Hamad Amour akizundua Klabu ya wananfunzi ya kupinga maambukizi ya virusi vya Ukimwi |
Post A Comment: