MAASIKOFU WALIOCHUKUA MGAO WA FEDHA ZA ESCROW KUZIRUDISHA

Share it:
Askofu Msaidizi jimbo la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini pamoja na Mhashamu Eusebius Nzigilwa wa jimbo kuu katoliki la Dar es salaam wamefunguka na kutoa taarifa kuwa wameamua kurudisha mgao wa fedha za Escrow ambazo walipewa na James Rugemalira.

Viongozi hao wa dini wamesema wameamua kurudisha fedha hizo za serikali kutokana na kuwepo kwa kesi mahakamani ya kuhujumu uchumi inayomkabili James Rugemalira ambaye ndiye aliwapa fedha hizo.

Mhashamu Method Kilaini alidaiwa kupewa jumla ya fedha za kitanzania milioni 80.5 huku Eusebius Nzigilwa akidaiwa kupewa jumla ya milioni 40.4 

Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

WAFANYABIASHARA WASHAURIWA KUOMBA MIKOPO GEITA

Mkuu wa wilaya ya Nyang'hwale Hamim Gwiyama akikata utepe pamoja na meneja wa NMB kanda ya ziwa Abraham Augustino 

JOEL MADUKA