MADIWANI WAFUNGA BARABARA YA MGODI WA GGM WAKISHINIKIZWA KULIPWA KIASI CHA DOLA MILIONI 12.65

Share it:
Baadhi ya madiwani wakiwa  nje ya Lango la Mgodi wa dhahabu wa Geita wakishinikiza mgodi huo kuwalipa kiasi cha  Dola  Milioni 12.65.
Baadhi ya madiwani wakiwa na Mbunge wa Geita,Joseph Kasheku Msukuma nje la Lango la Kuingilia Mgodini.


Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita,Constatine Molandi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuondolewa na polisi ambao wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya.


PICHA NA MADUKA ONLINE

Share it:

HABARI PICHA

Post A Comment: