Lango kuu la kuingilia kwenye Sherehe. |
Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati ya kikao na uongozi wa mgodi huo. |
Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia shughuli ya sherehe ya kuagwa. |
Wafanyakazi wa BGML pamoja na viongozi na Meneja Mkuu wa mgodi Graham Crew wakikata keki kwa pamoja kuashiria mshikamano na umoja. |
Meneja Mkuu wa mgodi wa BMGL Graham Crew Akizungumza na wafanyakazi pamoja na kuwaaga wakati wa sherehe. |
Wafanyakazi wakimsikiliza Meneja Mkuu wakati alipokuwa akiwaaga. |
Msanii Mrisho Mpoto Akitumbuhiza pamoja na Bendi yake wakati wa sherehe za kwaaga wafanyakazi wa Mgodi huo. |
Baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakiwa kwenye shughuli hiyo . |
Msanii Ismail akiwaburudisha wafanyakazi kwa Wimbo wa Songa songa mbele usirudi Nyuma,. | p |
Post A Comment: