HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA KATIKA VITUO VYA AFYA MWANZA

Share it:
Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo.
Share it:

JOEL MADUKA

habari

Post A Comment:

Also Read

BABA AHUKUMIA JELA MIAKA MINNE KWA MIMBA BINTI YAKE

Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Tabora imemhukumu mkazi wa Manispaa ya Tabora, Sadick Masunzu (47) kifungo cha mi

JOEL MADUKA